Saturday, February 9, 2013

BARAZA LA MITIHANI LATOA TOVUTI RASMI ZA KUANGALIZIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE,NECTA (2012).

 



Baraza la mitahani la taifa leo limetoa tovuti rasmi kwa ajili ya kuangalizia matokeo pindi yatakavyo tangazwa hivi karibun. Tovuti hizo ni www.necta.go.tz na www.matokeo.necta.go.tz. vilevile wamesema kwamba tovuti ya wizara ya elimu www.moe.go.tz haitatumika kwasasa kwasababu haipo hewani.

0 comments:

Post a Comment

 

Subscribe to our Newsletter

Contact our Support

Email us: youremail@gmail.com

Our Team Memebers